Alichokisema Niyonzima Kuhusu uwezo wa beki wa Rayon Abdul Rwatubyaye

Alichokisema Niyonzima Kuhusu uwezo wa beki wa Rayon Abdul Rwatubyaye

0

Alichokisema Niyonzima Kuhusu uwezo wa beki wa Rayon Abdul Rwatubyaye

Wakati Ikielezwa kuwa Yanga tayari wameshafanya mazungumzo na Beki wa kati wa RAYON SPORTS Abdul Rwatubyaye ili kuweza kuongeza nguvu katika kikosi cha wanajangwani ambao mapendekezo ya Kocha Mwinyi Zahera ni moja ya eneo analohitaji mchezaji katika eneo la beki wa Kati.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anayecheza na Abdul Rwatubyaye katika timu ya taifa ya Rwanda inayojulikana kama Amavubi amesema mchezaji huyo anakiwango cha Juu sana.

Akimsifia kwa staili yake ya kucheza kwa kujituma na kutokuwa na mzaha anapokuwa uwanjani.

Niyonzima amefunguka zaidi kwa kusema kama Yanga watafanikiwa kupata saini yake basi watakuwa wamepata bonge la mchezaji katika safu yao ya Ushambuliaji.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY