Baada ya kufanya majaribio Mamelod Sundowns hiki ndicho kinaendelea kwa Habib Kyombo

Baada ya kufanya majaribio Mamelod Sundowns hiki ndicho kinaendelea kwa Habib Kyombo

0

Baada ya kufanya majaribio Mamelod Sundowns hiki ndicho kinaendelea kwa Habib Kyombo

Straika Mtanzania anayetafuta maisha ya kisoka Nchini Afrika Kusini Habib Kyombo baada ya Kufanya majaribio kwa siku kumi kuna Taarifa mpya inamhusu straika huyo wa zamani wa Mbao Fc na wasasa Singida United.

Kyombo amefunguka kuwa ameongezewa muda wa wiki moja kuendelea na mazoezi Ambapo kwa sasa ataanza mazoezi na timu ya wakubwa.

“Nilifika hapa kwa muda wa siki 10. Nilifanya mazoezi na timu B kwa sasa klabu ilikuwa kwenye ratiba ngumu ya CAF na michuano mengine”

“Jana ilikuwa muda wa mazoezi yangu kukamilika. Lakini nikapewa taarifa kuwa kocha Mkuu Mosimame aliniongezea muda wa kufanya mazoezi kwa wiki nyingine “Leo (Jumapili) nilipewa mapumziko na nimeambiwa kesho nitaanza mazoezi na timu ya wakubwa””

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY