Gor Mahia kukabidhiwa kombe la Ubingwa wa KPL leo

Gor Mahia kukabidhiwa kombe la Ubingwa wa KPL leo

0

Gor Mahia kukabidhiwa kombe la Ubingwa wa KPL leo

Mabingwa wa soka nchini Kenya wakichukua kwa mara ya pili mfululizo lakini pia ikiwa ni kwa mara ya 17 toka kuanziswa kwake leo wanakabidhiwa Ubingwa wao.

Gor Mahia watakabidhiwa ubingwa huo na Kiongozi mkuu wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga ambaye pia ni mlezi wa timu hiyo.

Gor Mahia waite K’ogalo watakabidhiwa ubingwa huo huko Kisumu nchini hapa Kenya huku wakicheza mchezo na Mathare United

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY