Habari mpya kutoka Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union

Habari mpya kutoka Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union

0

Habari mpya kutoka Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union

Klabu ya Yanga jumatano ya 19.9.2018 itashuka dimbani kucheza na Coastal Union ya Tanga katika mchezo ambao utaanza majira ya saa moja usiku katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

Kuelekea mchezo huo Bodi ya Ligi kupitia kwa Mkurugenzi wake Boniface Wambura wametangaza viingilio kuelekea mchezo huo.

VIP A itakuwa ni shilingi 15,000 VIP B na C itakuwa shilingi 10,000 huku Viti vya Machungwa na Kijani kiingilio kikiwa ni shilingi 5000.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY