Haji Manara atoa tahadhari kisa ratiba hii ya Yanga

Haji Manara atoa tahadhari kisa ratiba hii ya Yanga

0

Haji Manara atoa tahadhari kisa ratiba hii ya Yanga

Afisa habari wa Klabu ya Simba Haji Manara amewatoa tahadhari baada ya ratiba ya mechi 11 zinazofuata TPL kwa Yanga zote kuonekana itacheza DSM

Kupitia ukurasa wa Instagram Haji Manara ameandika kutahadharisha wanayanga kuhusiana na ratiba hiyo kuwa Ikitokea Kwa Simba watu wasije kulalamika.

usome ujumbe wote.

Haijawahi kutokea kokote duniani toka Ulimwengu umeumbwa!! Klabu moja kucheza mechi 12 mfululizo kwenye kituo chake..usisahau JKT,Simba,kMC na Lyon zitachezewa Taifa,,
Hoja hapa ni nn?jambo hili lingekuwa kwetu Gongowazi wangesema TFF hii ni Simba,na cc hatulalamiki tunakumbushana tu…
Hata hili la kufungiwa Meneja wetu ingekuwa wao wangehoji why Meneja wao hajafungiwa ?wakati makosa ya kina kichuya ndio aliyoyafanya Toto?
Soma bila jazba utanielewa nimemaanisha nn!!
Narudia hatulalamiki ila isije tokea kwetu halaf nisikie fyoko fyoko..Ndegelec!!!

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY