Hao Yanga usiwatanie unaambiwa Huyu anatua Dirisha dogo

Hao Yanga usiwatanie unaambiwa Huyu anatua Dirisha dogo

0

Hao Yanga usiwatanie unaambiwa Huyu anatua Dirisha dogo

Yanga kweli ni wazee wa kimya kimya msimu huu yes ndiyo kauli unayoweza kuitumia kwani licha ya kuwa wapo na Kikosi chao na hakionekani kuwa kibaya sana kama watu walivyofikiria awali unaambiwa mipango ya Kimya kimya inaendelea.

Sasa kazi imehamia kwa mchezaji Ahmed Toure raia wa Burkinafaso anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Asec Mimosas huko Ivory Coast.

Mchezaji huyo msomaji wa kwataunit.co.ke  anayecheza nafasi ya ushambuliaji na anayetumia zaidi mguu wa kulia amewahi pia kucheza baadhi ya vilabu vikubwa ikiwemo Asante Kotoko ya nchini Ghana

Yanga unaambiwa kimya kimya washatuma mtu kwaajili ya kufanya naye mazungumzo ili kuhakikisha Straika huyo anatua na kuvaa jezi ya wanajangwani dirisha dogo. Usipitwe na habari zetu kila wakati Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY