Hatimaye Kichuya aungana na wachezaji wenzake kwenye hili

Hatimaye Kichuya aungana na wachezaji wenzake kwenye hili

0

Hatimaye Kichuya aungana na wachezaji wenzake kwenye hili

Ungeweza kusema labda alikuwa hapendi tu au hakuwa na haja na vitu vya aina hiyo au alikuwa anavuta vuta siku naye afanye kama wenzake yote unaweza kuyasema.

Ikufikie hii kuwa Hatimaye kiungo wa mabingwa wa soka nchini Tanzania Kichuya naye ameungana na mastaa wengi wanaocheza Simba kwa kununua gari

Kichuya inaelezwa amenunua gari aina ya Toyota Crown ambayo thamani yake ni shilingi milioni 17 za Kitanzania

Awali Kichuya alikuwa ni mchezaji anayetumia usafiri wa pikipiki mara kadhaa anapoenda na kutoka mazoezini ila sasa ataungana na nyota wenzake kwa kumiliki gari.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY