Haya hapa Majanga mengine kwa Masoud Djuma Simba

Haya hapa Majanga mengine kwa Masoud Djuma Simba

0

Haya hapa Majanga mengine kwa Masoud Djuma Simba

Kesho klabu ya Simba inatarajiwa kuelekea jijini Mwanza kwaajili ya mchezo dhidi ya Mbao Fc mchezo utakaochezwa September 20 katika uwanja wa CCM KIRUMBA.

Kuelekea mchezo huo taarifa kutoka ndani ya Simba zinaeleza kuwa kocha Masoud Djuma hataongozana na Kikosi cha Simba kinachoenda Mwanza na badala yake atabakia Dar Es Salaam

Mara ya kwanza kwa Masoud Djuma kutoongozana na Timu ilikuwa ni safari ya mtwara ambapo Masoud Alibakia Dar wakati kikosi kikienda Mtwara na Kocha Mkuu Patrick Aussems pamoja na kocha wa Viungo.

Hata hivyo msomaji wa Kwataunit.co.ke alipotafutwa afisa habari wa timu ya Simba Haji manara alishindwa kuthibitisha taarifa hizo kwa kusema kila kitu kitajulikana kesho wachezaji watakaoenda na watakaobaki pamoja na benchi la Ufundi na sababu.Kwa habari za Kila wakati kwa haraka Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY