Hii hapa habari njema kwa wanaYanga leo 13.9.2018

Hii hapa habari njema kwa wanaYanga leo 13.9.2018

0

Hii hapa habari njema kwa wanaYanga leo 13.9.2018

Mambo ndani ya klabu ya Yanga yanaendelea kuwa vizuri na sasa kikosi cha Yanga kinazidi kukaa sawa kutokana na majeruhi waliokuwepo kuendelea kuimarika na kuanza mazoezi.

Habari njema ya kukufikia leo mwanaYanga nikwamba baada ya kipa Klaus Kindoki kupata maumivu wakati wa mchezo kati ya Yanga na African Lyon na Juzi jumanne kushindwa kufanya mazoezi ni kwamba kwa sasa yuko fiti.

Kindoki kwasasa amepona hali inayofanya kuwa fiti kuwavaa Stand United siku ya Jumapili katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

Kurejea kwa Kindoki kunafanya kikosi cha Yanga kubakia na Majeruhi mmoja tu ambaye ni Juma Mahadhi ambaye aliongezewa wiki moja ya mapumziko.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY