Hivi ndivyo Haji Manara alivyomsifia Kiongozi huyu kutoka Yanga

Hivi ndivyo Haji Manara alivyomsifia Kiongozi huyu kutoka Yanga

0

Hivi ndivyo Haji Manara alivyomsifia Kiongozi huyu kutoka Yanga

Afisa habari wa timu ya Simba ambaye kwasasa hali yake kiafya siyo nzuri kutokana na kusemekana kula chakula chenye sumu Haji manara amempongeza Katibu mkuu wa Yanga Omary Kaya kutokana na kitendo chake cha kwenda kumsalimia kutokana na kuumwa kwake.

Akitumia Ukurasa wa Instagram ameandika Ujumbe Huu

Sijui lini ntaeleweka nnaposema Simba na Yanga c maadui wala mahasimu ?imagine miongoni mwa watu wa mwanzo kuja kwangu kuniona baada ya kutoka hospital ni Swahiba wangu ambae ndio kaimu katibu Mkuu wa Yanga Omar kaya..tumeongea na kutaniana lakini pia kushauriana yenye faida kwa mpira wa Tanzania…
Mashabiki maandazi jifunzeni kwetu na kwa wachezaji..cc hatuna uadui..msitukanane wala kukunjana..charurareni bila kugombana @ommykaya

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY