Hivi ndivyo James Kotei alivyozungumzia uwezo wa Hassan Dilunga

Hivi ndivyo James Kotei alivyozungumzia uwezo wa Hassan Dilunga

0

Hivi ndivyo James Kotei alivyozungumzia uwezo wa Hassan Dilunga

Kama ulifikiri uwezo wa Hassan Dilunga unakubalika kwa washabiki tu wa soka tena hususani wa klabu yake ya Simba basi utakuwa unachemka kwani hata wachezaji wenzake shughuli wanaiona na kuikubali pia.

Mchezaji mwenzake kutoka Ghana James Kotei amenyoosha mikono na kusema kwasasa ujio wa Hassan Dilunga kwenye kikosi cha Simba umefanya kazi kuwa rahisi mno kwa wao kama viungo wa Chini (Wakabaji) kipindi ambacho Dilunga anacheza kama kiungo mshambuliaji.

“Jamaa anafanya kazi nyingi snaa anashuka hadi chini kuchukua mipira na kupeleka mbele, anatusaidia kazi nyingi sana mimi na mwenzangu Jonas Mkude “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY