Hivi ndivyo Juuko Murshid alivyomtambia Mbwana Samatta

Hivi ndivyo Juuko Murshid alivyomtambia Mbwana Samatta

0

Hivi ndivyo Juuko Murshid alivyomtambia Mbwana Samatta

Kuelekea pambano kati ya Uganda The Cranes na Tanzania Taifa Stars mchezo ambao utachezwa nchini Uganda katika uwanja wa Mandela jumamosi 8 Septemba Juuko Murshid ameibuka na Kutamba kwa nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta.

Juuko Murshid ametamba na Kusema timu yao ya Uganda ni nzuri kuliko Tanzania na Kuhusu Mbwana Samatta kama anamhofia au hamhofii amesema amewahi kuwadhibiti mastraika wakali zaidi ya Samatta kwahiyo haofii kitu kwake.

” Nafahamu uwezo wa timu yetu ya Taifa nafikiri ni bora kuliko ya Tanzania, nina uhakika tutashinda Nimewahi kuwatuliza wachezaji bora zaidi ya Samatta. “ alisema Juuko Murshid ambaye ni mchezaji wa Simba sc ya Tanzania.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY