Kati ya Okwi na Kagere Nyoni ataja anaweza kuwa Mfungaji Bora

Kati ya Okwi na Kagere Nyoni ataja anaweza kuwa Mfungaji Bora

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Kati ya Okwi na Kagere Nyoni ataja anaweza kuwa Mfungaji Bora

Wakati ligi kuu soka ya Tanzania bara ikiwa inatarajiwa kuendelea wiki hii baada ya kusimama kupisha mechi za Kimataifa ambapo Tanzania Taifa Stars nayo ilikuwa na majukumu dhidi ya Uganda kufuzu AFCON 2018

Mlinzi wa Kutumainiwa wa Simba Erasto Nyoni ameibuka na kufunguka anachoona kuhusu mchezaji anayeweza kuibuka mfungaji bora TPL 2018/2019

Erasto Nyoni amesema kuwa anaona Meddie Kagere anaweza kuwa mfungaji bora kama hatapata majeraha yatakayomfanya akae nje ya uwanja.

Nyoni amesema Kagere ameonyesha kuwa hakubali kushindwa na amekuwa akipambana sana kiasi cha kumfanya aamini anaweza kufanya vizuri na kuwa mfungaji bora na kumfunika Okwi aliyefanya hivyo msimu uliopita 2017/2018.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY