Kikosi cha Wachezaji 20 Simba kilichowafata Ndanda Mtwara

Kikosi cha Wachezaji 20 Simba kilichowafata Ndanda Mtwara

0

Kikosi cha Wachezaji 20 Simba kilichowafata Ndanda Mtwara

Kikosi cha Simba leo mapema sana kiliingia  mkoani Mtwara kikiwa chini ya Mwalimu Mkuu bila msaidizi wake Masoud Djuma.

Jumla ya wachezaji 20 wameongozana kwenda Mtwara kuwavaa Ndanda Fc.

1. Aishi Manula
2. Deo Munishi
3. Nicholas Gyan
4. Shomari Kapombe
5. Paul Bukaba
6. Pascal Wawa
7. Erasto Nyoni
8. Yusuph Mlipili
9. Jonas Mkude
10. Mohammed Ibrahim
11. Adam Salamba
12. Emmanuel Okwi
13. John Boko
14. Meddie Kagere
15. Clatous Chama
16. Mohammed Hussein
17. Mohammed Rashid
18. Said Ndemla
19. Hassan Dilunga
20. Shiza Kichuya

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY