Kikosi na wafungaji kipindi Yanga anamfunga Coastal 8 kwa 0

Kikosi na wafungaji kipindi Yanga anamfunga Coastal 8 kwa 0

0

Kikosi na wafungaji kipindi Yanga anamfunga Coastal 8 kwa 0
Kipigo cha kihistoria Yanga waliipa Coastal Union ni 8-0 Aprili 8, mwaka 2015 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.

Mshambuliaji Mrundi, Mrundi Amisi Tambwe alifunga mabao manne dakika za 9, 34, 48 na 90, Simon Msuva mawili dakika ya 23 na 87, Mliberia, Kpah Sean Sherman dakika ya 50 na Salum Telela dakika ya 88.

Mwinyi zahera afurahia mabeki wanavyomkamia Makambo

Kikosi cha Yanga SC kilikuwa; Ally Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul, Oscar Joshua/Edward Charles dk77, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Mbuyu Twite/Hassan Dilunga dk67, Salum Telela, Haruna Niyonzima, Amisi Tambwe, Kpah Sherman/Nizar Khalfan dk70 na Simon Msuva.

Coastal Union; Bakari Fikirini, Juma Hamad, Abdallah Mfuko, Yussuf Chuma, Bakari Mtama, Abdulhalim Humud, Mohamed Ally, Yahya Ayoub, Rajab Mohamed/Mohammed Shekuwe dk57, Ike Bright Obinna/Mohamed Mtindi dk64 na Rama Salim/Abbas Athuman dk46.

credit : Bin Zubeiry

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY