Kocha AFC Leopards ataja mchezaji wa Simba aliyemkosha zaidi

Kocha AFC Leopards ataja mchezaji wa Simba aliyemkosha zaidi

0

Kocha AFC Leopards ataja mchezaji wa Simba aliyemkosha zaidi

Jumamosi 8.9.2018 klabu ya Simba ilicheza mchezo wa Kirafiki wa kimataifa dhidi ya AFC Leopards ya nchini Kenya ikiwa ni kwaajili ya maandalizi ya michezo ya ligi Kuu TPL.

Katika mchezo huo Simba ilishinda bao 4 kwa 2 Mabao ya Simba yakifungwa na John Bocco mabao 2, Marcel Kaheza na Mo Ibrahim.

Kocha wa AFC Leopards Thomas Juma maarufu zaidi kama Tom Juma amefunguka mchezaji wa Simba ambaye alimkosha zaidi katika mchezo huo wa Simba na AFC Leopards.

Tom Juma alisema amevutiwa zaidi na uwezo wa nahodha wa Simba John Bocco kutokana na uwezo wake kuwa Mkubwa uwanjani lakini akisifia nidhamu yake lakini pia kujituma uwanjani huku akimtabiria kuwa mfungaji bora kama ataendelea hivyo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY