Kocha wa zamani Yanga atua Singida United

Kocha wa zamani Yanga atua Singida United

0

Kocha wa zamani Yanga atua Singida United

Singida United ya mjini Singida imefaniiwa kumuongeza moja ya makocha ambao wamewahi kuifundisha Yanga katika msimu uliopita.

Singida United imefanikiwa kumuongeza katika benchi lake la Ufundi Shadrack Nsajingwa.

Nsajigwa amesaini kandarasi ya miaka miwili kama kocha msaidizi Singida United na anaweza kuanza kuonekana katika mchezo dhidi ya African Lyon.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY