Kocha Zahera aanza na anapopondwa ili kuwaua Simba 30.9.2018

Kocha Zahera aanza na anapopondwa ili kuwaua Simba 30.9.2018

0

Kocha Zahera aanza na anapopondwa ili kuwaua Simba 30.9.2018

Licha ya Yanga kushinda mechi zake nne za awali na kuwa timu pekee yanye ushndi kwa asilimia 100 toka Ligi kuu Tanzania bara TPL ianze msimu wa 2018/2019 Yanga imekuwa ikionekana kuzidiwa hasa kipindi cha pili.

Kuzidiwa kwa Yanga kipindi cha pili imekuwa ikionekana ni kutokana na wachezaji wengi kuchoka wengi wakitafsiri kuwa inatokana na kukosa Pumzi.

Basi Mwinyi Zahera msomaji wa Kwataunit.co.ke  baada ya kuona hilo na watu wengi wakimponda  katika mazoezi ya Yanga yanayoendelea huko mkoani Morogoro ameamua kuanza na suala la Pumzi katika harakati za kuhakikisha Timu yake inapata ushindi mbele ya Simba September 30 2018 uwanja wa Taifa.

Katika mazoezi hayo Wachezaji walitakiwa kukimbia katika makundi kwenye muda uliopangwa lengo likiwa ni kuhakikisha timu inaweza kucheza dakika zote tisini bila kuchoka kama ambavyo imekuwa ikionekana katika mechi zilizopita.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY