Kutoka kwa Dismas Ten Eti matokeo ya Kesho Simba na Yanga yatakuwa...

Kutoka kwa Dismas Ten Eti matokeo ya Kesho Simba na Yanga yatakuwa Hivi

0

Kutoka kwa Dismas Ten Eti matokeo ya Kesho Simba na Yanga yatakuwa Hivi

Ikiwa imebakia saa kadhaa tu kabla ya mchezo kati ya Simba na Yanga kuchezwa kesho uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam Afisa Habari wa Timu ya Yanga amekuja na Utabiri wake kupitia ukurasa wake wa Instagram

Dismas Ten ameweka picha ya Matokeo ya Yanga kushinda 4 kwa 1 dhidi ya Simba huku akiandika ujumbe Huu,

🤫🙄povu Kama lote…! Kudadek..!

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY