Kwa Ujumbe huu wa Makonda mshindi ni huyu Mechi ya watani wa Jadi
Wakati watu wengi wakiwa bado hawajui nani anaweza kuwa Mshindi Jumapili kwenye mchezo kati ya Simba na Yanga 30 September 2018 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam yeye kama kashamchungulia mshindi vile.
Akitumia ukurasa wake wa Instagram Paul Makonda ameandika Ujumbe wa kujiaminisha kuwa Simba itashinda huku akitoa ahadi kuwa kama Simba itafungwa basi ataanza kwenda ofisini kwa Baiskeli
Kuna Watu wanatangaza Eti kuifunga SIMBA. Siku Simba ikifungwa na yanga nitaanza kutumia Baiskeli kwenda Ofisini. @mrisho_gambo @millardayo@hajismanara @azamtvtz