Mabadiliko Kikosi cha Simba kitakachoivaa Mwadui Fc leo 23.9.2018

Mabadiliko Kikosi cha Simba kitakachoivaa Mwadui Fc leo 23.9.2018

0

Mabadiliko Kikosi cha Simba kitakachoivaa Mwadui Fc leo 23.9.2018

Kikosi cha Simba leo 23.9.2018 kitashuka dimbani kucheza na Mwadui Fc ya Mkoani Shinyanga mchezo utakaoanza majira ya saa kumi kamili katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.

Kuelekea mchezo huo wa leo Jana Simba ilifanya mazoezi yake ya Mwisho katika uwanja wa KAMBARAGE uwanja ambao utatumika katika mchezo wa Leo.

Katika mazoezi hayo ya jana msomaji wa Kwataunit.co.ke  Kocha Patrick Aussems alionekana kufanya mabadiliko katika kikosi chake ambacho kinatarajiwa kuanza leo

Katika Kikosi hiko alichoonekana kukiandaa kwaajili ya mchezo wa leo ni kilekile kilichoikabili Mbao Fc lakini kukiwa na mabadiliko ya wachezaji wawili.

Mbele Mshambuliaji Emmanuel Okwi akianzia benchi na nafasi yake kuanza Meddie Kagere huku nafasi ya Mohammed Ibrahim akionekana kuanzishwa James Kotei.

Haya hapa mAGAZETI YA MICHEZO leo 23.9.2018

Kikosi cha Simba Kilichoivaa Mbao Fc

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Clatous Chama
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Mohammed Ibrahim

Kikosi cha akiba

12. Deogratius Munish
13. Paul Bukaba
14. James Kotei
15. Said Ndemla
16. Meddie Kagere
17. Marcel Bonaventure

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY