Manara amtaja mchezaji wake bora wa Mechi Uganda vs Stars

Manara amtaja mchezaji wake bora wa Mechi Uganda vs Stars

0

Manara amtaja mchezaji wake bora wa Mechi Uganda vs Stars

Baada ya mechi kati ya Uganda na Tanzania kumalizika kwa Tanzania kuwabana Uganda wakicheza nyumbani kwao Uganda uwanja wa Mandela Namboole Haji Manara amewapongeza kikosi ca Taifa Stars.

Huku akitaja mchezaji wake bora wa mchezo wa Leo upande wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars huku akitoa Shukrani zake pia kwa mchezaji huyo.

Well done Taifa Stars..mmepambana kiume..hamkunyeka Uwanjani Nambole..nimeangalia dak tisini za Do or Die..
Shukran nyingi kwa Kipa wa nchi Aishi Salum @manula_28 ..kwangu mm ww ni Man of the match leo.. #taifastars

Kuzipata habari zetu kwa wakati like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY