Manara awakumbusha Yanga wachezaji waliowahi kuwafunga Hatriki

Manara awakumbusha Yanga wachezaji waliowahi kuwafunga Hatriki

0

Manara awakumbusha Yanga wachezaji waliowahi kuwafunga Hatriki

Haji manara afisa habari wa Simba leo 17.9.2018 ameamka na Wachezaji ambao wamewahi kuwafunga goli 3 kwenye mechi moja maarufu kama Hat Trick.

Huku akijitapa kuwa Simba toka Imeanzishwa haijawahi kufungwa goli 3 na Mchezaji mmoja kwenye mechi mOja.

Huu ndiyo Ujumbe aliouandika Kupitia Instagram yake.

Simba toka imeumbwa haijawahi kufungwa HAT-TRICK na mchezaji yoyote yule…. Gongowazi ya jana ilikuwa ya tatu..
1959..VS Navy ya Greece..mfungaji Georgie Menopolisties.
1977.VS Simba..mfungaji Abdallah kibadeni..kipa wao Bernard Madale
2018.VS Stand United… Mfungaji @maulidkitenge. Ahhh tholi Alex kitenge..kipa wao jina gumu kweli..nani vilee!!!
Miaka 41 baadae Bana Congo kaja kuvunja rekodi ya Madale…Wametoa pazia wameweka kanga ya India..ukichungulia unamuona yuleeeeeee 😎

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY