Matokeo African Lyon vs Coastal Union TPL Leo 14.9.2018

Matokeo African Lyon vs Coastal Union TPL Leo 14.9.2018

0

Matokeo African Lyon vs Coastal Union TPL Leo 14.9.2018

matokeo ya Mechi kati ya African Lyon dhidi ya Coastal union moja kwa moja kutoka uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam

Mechi Imeanza

African lyon 0 – 0 Coastal union.

Mechi Imeanza Taratibu

Dakika ya 5

African Lyon 0 – 0 Coastal Union

Dakika 10 Coastal Union wanaonekana kuwashambulia African Lyon

Dakika ya 20

African lyon 0 – 0 Coastal union

Dakika ya 30

Bado timu zote zinacheza kwa kuwindana licha ya kuwa Coastal Union wanaonekana kutengeneza nafasi nyingi kuliko African Lyon.

African Lyon 0 – 0 Coastal union

Kipindi cha Kwanza Kimeitimishwa katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar Es Salaam, Mechi imemalizika kwa dakika 45 za Kwanza kwa sare ya bila Kufungana.

HALF TIME

African Lyon 0 – 0 Coastal union.

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili kimeanza katika uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

African Lyon 0 – 0 Coastal Union

Dakika ya 48 Bado 0 kwa 0

Dakika ya 53 Coastal Union wanatengeneza moja ya nafasi nzuri wakifanya shambulizi la Kushitkuza mpira Unagonga mwamba na Kurejea uwanjani

African Lyon 0 – 0 Coastal Union

Dakika ya 62 Haruna Moshi Boban wa African Lyon anashindwa kuifanyia haki nafasi ya wazi aliyoipata.

Dakika ya 75

Timu zote zinacheza zaidi eneo la kati ya uwanja na mashambulizi yamepungua kwa timu zote tofauti na kipindi cha Kwanza ilivyokuwa.

African Lyon 0 – 0 Coastal Union

Dakika ya 85 Coastal Union Wanafanya mabadiliko ya kumtoa Haji Ugando na nafasi yake anaichukua Ayoub Lyanga

African Lyon 0 – 0 Coastal Union

Zimeongezwa dakika tatu za Nyongeza kufidia dakika zilizopotea uwanjani matokeo yakiwa bado ni bila kwa bila Si African Lyon wenyeji wa Mchezo wala Coastal Union,

FULL TIME

African Lyon 0 – 0 Coastal Union

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY