Matokeo Alliance vs KMC Ligi kuu TPL leo 29.9.2018

Matokeo Alliance vs KMC Ligi kuu TPL leo 29.9.2018

0

Matokeo Alliance vs KMC Ligi kuu TPL leo 29.9.2018

Mechi imeanza kutoa uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza

Goaaaaal dakika ya Ambundo anaipatia Alliance bao  la kwanza

Alliance 1 – 0 KMC

Goaaaaaal dakika ya 10 Juhudi Philemon anaipatia Alliance bao la Pili, Assist ya Dickson Ambundo

Alliance 2 – 0 KMC

Dakika ya 2

Alliance 2 – 0 KMC

Dakika ya 30

Mechi inaonekana kuwa ya timu  zote Alliance wakionekana kuwa machachari wanapovuka eneo la katikati wakati KMC wanajitahidi kumiliki mpira huku wakitengeneza nafasi

Alliance 2 – 0 KMC

Mpira ni mapumziko

Alliance 2 – 0 KMC

KIPINDI CHA PILI

DAKIKA 50

ALLIANCE 2 – 0 KMC

Goaaaaaal KMC wanapata bao kupitia kwa Mveyekule

ALLIANCE 2 – 1 KMC

DAKIKA YA 80

ALLIANCE 2 –  1 KMC

DAKIKA YA 85

ALLIANCE 2 – 1 KMC

FULL TIME

ALLIANCE 2 – 1 KMC. HUU NI USHINDI WA KWANZA KWA ALLIANCE LIGI KUU SOKA YA TANZANIA BAR TPL 2018/2019

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY