Matokeo Azam Fc vs Arusha United leo 4.9.2018

Matokeo Azam Fc vs Arusha United leo 4.9.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Matokeo Azam Fc vs Arusha United leo 4.9.2018

Leo kulikuwa na kipute kati ya Azam fc dhidi ya Arusha United katika uwanja wa Azam mchezo ukiwa ni kirafiki kwa timu zote Azam wanaoendelea na maandalizi ya Ligi kuu na Arusha United wanaojiandaa na ligi daraja la Kwanza

Dakika 90 za mchezo huo zimemalizika kwa Azam Fc kubanwa kwa sare ya bila Kufungana na Arusha United.

Mechi hiyo ni ya Pili ya kirafiki kwa Azam Fc toka Ligi iliposimama mchezo wa Kwanza Azam ikipoteza bao 2 kwa 1 mbele ya Maafande wa Transit Camp.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY