Matokeo Azam Fc vs Lipuli Fc TPL Leo 28.9.2018

Matokeo Azam Fc vs Lipuli Fc TPL Leo 28.9.2018

0

Matokeo Azam Fc vs Lipuli Fc TPL Leo 28.9.2018

Matokeo ya Moja kwa Moja kati ya Azam Fc dhidi ya Lipuli Fc TPL leo 28.9.2018 kutoka Uwanja wa AZAM .

Mechi imeanza

Azam fc 0 – 0 Lipuli Fc

Dakika 10 zimekatika katika uwanja wa Azam matokeo yakiwa bado 0 kwa 0, Azam Fc wanaonekana kushambulia zaidi kuliko Lipuli Fc.

Dakika ya 15 Danny Lyanga anapata nafasi nzuri ya Kufunga bao lakini anapiga shuti linalopita nje la Lango

Dakika ya 16 Lipuli wanaonekana kuamka na kupiga pasi kutengeneza nafasi ya bao lakini bado ukuta wa Azam Fc unaonekana uko imara

DAKIKA 20

Azam Fc 0 – 0 Lipuli Fc

Dakika ya 26 Paul Nonga anaumia na anatoka Nje kwa matibabu zaidi matokeo yakiwa bado 0 kwa 0

Dakika ya 35 Bado 0 kwa 0 Mechi imehamia katikati ya uwanja mashambulizi yamepungua kwa timu zote.

Dakika ya 39 Ramadhan Singano anapiga Free kick mpira unapaa nje kidogo ya lango

Kipindi cha kwanza kimemalizika kwa timu zote kwenda sare ya bila Kufungana mechi ikichezwa uwanja wa Azam.

HALF TIME

Azam Fc 0 – 0 Lipuli Fc

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili kimeanza katika uwanja wa Azam Fc

Dakika ya 48 Azam Fc 0 – 0 Lipuli

Dakika ya 62 Azam Fc wanafanya mabadiliko ya Kumtoa YaHYA Mudathir na nafasi yake inachukuliwa na Donald Ngoma mchezaji wa zamani wa Yanga

Mabadiliko upande wa Azam fc Dakika ya 65 Yahya Zayd anaingia kuchukua nafasi ya Danny Lyanga

Dakika ya 72 Lipuli wanafanya mabadiliko anatoka Busungu anainga Issa Rashid.

0 – 0

Dakika 75

Azam fc 0 – 0 Lipuli fc

DAKIKA 85

Azam fc 0 – 0 Lipuli fc

FULL TIME

Azam fc 0 – 0 Lipuli fc

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY