Matokeo Kenya vs Malawi leo 11.9.2018

Matokeo Kenya vs Malawi leo 11.9.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Matokeo Kenya vs Malawi leo 11.9.2018

Timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars ikicheza leo mbele ya Umati uliojikusanya uwanja wa Kasarani imefanikiwa kupata ushindi wa bao moja kwa sifuri mbele ya Malawi The Flames.

Goli pekee la Kenya limefungwa na kiungo kutoka Gor Mahia K’oGALO Francis Kahata.

Mchezo huo ulikuwa ni wa kimataifa wa kirafiki kama ambavyo ilivyo wiki ya Mechi za kimataifa ya FIFA.

Mchezo huo umechezwa leo ikiwa ni siku chache toka Kenya wapate ushindi mbele ya Vigogo wa soka barani AFrika timu ya Ghana katika michuano ya kuwania kufuzu AFCON 2019 michuano ambayo imepangwa kufanyika nchini Cameron

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY