Matokeo Lipuli vs Alliance TPL leo 19.9.2018

Matokeo Lipuli vs Alliance TPL leo 19.9.2018

0

Matokeo Lipuli vs Alliance TPL leo 19.9.2018

Matokeo ya Moja kwa Moja Kati ya Lipuli wakiwa wenyeji wa mchezo uwanja wa Samora kuikaribisha Alliance Fc kutoka Mwanza.

Mechi Imeanza

Lipuli fc 0 – 0 Alliance Fc

Dakika ya kwanza Lipuli wanakosa goli la wazi , Malimi Busungu alitaka kuchungulia nyavu hata hivyo anakosa na inaonyeshwa kuwa ni offside

Dakika ya 4 Chinedu wa Alliance anajaribu shuti la Nje ya 18 mpira unaenda nje ya lango.

Lipuli 0 – 0 Alliance

Goaaaaal dakika ya 6 Miraji Athuman anaipatia Lipuli bao la Kuongoza, Anapiga Header nzuri kabisa

Lipuli 1 – 0 Alliance

DAKIKA 10

Lipuli 1 – 0 Alliance

Dakika 15 zimekatika katika uwanja wa Samora mkoani Iringa na Matokeo bado ni moja kwa Wenyeji Lipuli na 0 kwa Alliance.

DAKIKA 30

Lipuli 1 – 0 Alliance (6′ Miraji Athuman)

Dakika 40 bado 1 kwa 0

HALF TIME

Lipuli 1 – 0 Alliance (6′ Miraji Athuman)

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 47

Lipuli 1 – 0 Alliance

Dakika ya 50 Alliance ambao wameanza kwa kasi kipindi cha pili wanaandika bao Line 2 anakataa bao anaashiria ni Offside

DAKIKA 60

Alliance wanaonekana kuwaelemea Lipuli wanatengeneza nafasi nyingi lakini umakini wa washambuliaji unawaangusha.

Lipuli 1 – 0 Alliance

Dakika ya 70

Lipuli 1 – 0 Alliance

FULL TIME

Lipuli 1 – 0 Alliance (6′ Miraji Athuman kwa Kichwa)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY