Matokeo Lipuli vs Tanzania Prisons leo 7.9.2018

Matokeo Lipuli vs Tanzania Prisons leo 7.9.2018

0

Matokeo Lipuli vs Tanzania Prisons leo 7.9.2018

Leo katika uwanja wa Samora kulikuwa na mchezo wa Kirafikia kati ya Wanapaluhengo Lipuli Fc iliyowakaribisha timu ya Maafande wa jeshi la Magereza kutoka Mbeya timu ya Tanzania Prisons.

Katika mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao 1 kwa 1 bao la Lipuli Fc likifungwa na Malimi Busungu dakika ya 6 tu ya Mchezo huku bao la kusawazisha la Prisons likifungwa na Maingo dakika ya 30.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY