Matokeo Mwadui Fc vs Simba Sc TPL 23.9.2018

Matokeo Mwadui Fc vs Simba Sc TPL 23.9.2018

0

Matokeo Mwadui Fc vs Simba Sc TPL 23.9.2018

Matokeo mechi ya Ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL Leo 23.9.2018 , Mechi kutoka uwanja wa KAMBARAGE Shinyanga

Mechi Imeanza

Mwadui 0 – 0 Simba

Dakika ya 2 Simba wanapata Kona

Inapigwa Kona na Kichuya lakini walinzi wa Mwadui wanakuwa Imara kuondoa Shambulizi

Dakika 5

Mwadui 0 – 0 Simba

Dakika ya 13 Mwadui wanafanya shambulizi zuri langoni mwa Simba lakini Kipa Aishi manula anakuwa shujaa

Mwadui 0 – 0 Simba

Dakika 20

Mwadui 0 – 0 Simba

Dakika ya 20 John Raphael Bocc0 anakosa bao la wazi baada ya kupigiwa pasi ya Tik tak na Shiza Kichuya

Dakika ya 21 Kona inapigwa na Shiza Kichuya lakini mabeki wa Mwadui wanaokoa.

Dakika 25

Mwadui 0 – 0 Simba

Dakika ya 33 Shiza Kichuya anaribu shuti linaenda nje ya lango.

Dakika ya 39 Shiza Kichuya anawekwa chini ndani ya 18 na Refa anaamua kuwa na Penati , wachezaji wa Mwadui wanalalama kuonesha kuwa refa hakuwa sahihi.

Goaaaaal dakika ya 41 John Bocco anafunga penati

Mwadui 0 – 1 Simba

Goaaaaaal dakika ya 45 John Bocco anaiandikia Simba bao la pili

Mwadui 0 – 2 Simba

Simba wanamaliza kipindi cha Kwanza wakiongoza kwa bao 2 kwa 0 Mabao ya John Bocco.

HALF TIME

Mwadui 0 – 2 Simba (41′, 45′ John Bocco)

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 48

Mwadui 0 – 2 Simba

Goaaaaaaal dakika ya 51 Meddie Kagere anaipatia Simba bao la 3

Mwadui 0 – 3 Simba

Dakika ya 79

Mwadui 0 – 3 Simba

Full time

Mwadui 1 – 3 Simba

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY