Matokeo na Msimamo kundi la Tanzania kufuzu AFCON 2019

Matokeo na Msimamo kundi la Tanzania kufuzu AFCON 2019

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Matokeo na Msimamo kundi la Tanzania kufuzu AFCON 2019

Mara baada ya sare ya Uganda dhidi ya Tanzania juzi , Tanzania ikiibana the Cranes nyumbani kwao Uganda matokeo yaliyokuwa yakisubiriwa na Watanzania wengi ni yale kati ya Lesotho waliokuwa wenyeji wa Cape Verde jana.

Matokeo kati ya yamekamilika kwa sare ya bao 1 kwa 1 na Kufanya msimamo kubaki kama ulivyokuwa awali, Uganda akiongoza kwa kuwa na Points 4, lesotho wakiwa na Points 2 sawa na Tanzania wenye points 2 katika nafasi ya tatu na Cape Verde wanaalama 1 wakiwa mkiani.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY