Matokeo Simba vs AFC Leopards leo 8.9.2018

Matokeo Simba vs AFC Leopards leo 8.9.2018

0

Matokeo Simba vs AFC Leopards leo 8.9.2018

Matokeo Mechi ya Simba dhidi ya AFC Leopards ya Kenya moja kwa moja kutoka uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.

kipindi cha kwanza

Dakika ya 10

Simba 0 – 0 AFC Leopards

Goaaaaal dakika ya 14 John Bocco anaipatia Simba bao la Kuongoza kwa Assist ya Shomari Kapombe.

Dakika ya 30

Simba 1 – 0 AFC Leopards

Goaaaaaaal dakika ya 40 Mohammed Ibrahim Mo ambaye amekuwa hapati sana nafasi anaipatia Simba bao la Pili baada ya kumchambua beki na Kisha kuachia shuti kali langoni mwa AFC Leopards

Kuzipata habari zetu kwa wakati like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

Simba 2 – 0 AFC Leopards

Goaaaaaal AFC Leopards wanapata bao baada ya makosa ya mabeki wa Simba

Simba 2 – 1 AFC Leopards

HALF TIME

Simba 2 – 1 AFC Leopards

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 49 Mohammed Ibrahim Mo anafanya vitu ambavyo vinanyanyua washabiki kwennye Jukwaa, Anatoa anaiomba tena na Kupiga bycle Kick bahati kipa wa AFC Leopards anauona mpira na kuudaka

Dakika ya 54 AFC Leopards wanapata nafasi nzuri ya Kusawazisha bao lakini Kipa wa Simba Deo Munishi Dida anakuwa shujaa kwa Simba

Simba 2 – 1 AFC Leopards

Goaaaaaaaal dakika ya 57 John Bocco with a Classic Diving Header anaipatia Simba bao la tatu, Wakati huo Said Ndemla anaingia kuchukua nafasi ya Hassan Dilunga

Simba 3 – 1 AFC Leopards

Dakika ya 68 Simba wanaendelea kucheza vizuri kwa pasi za hapa na pale

Goaaaaal dakika ya 79  ikiwa hata hajatoa jasho toka aingie Marcel Kaheza Bonaventure anaipatia Simba bao la 4 kwa Free Kick nzuri

Simba 4 – 1 AFC Leopards

Dakika ya 85

Simba 4 – 1 AFC Leopards

Goaaaaal Ingwe AFC Leopards wanapata bao la pili kupitia kwa Omondi

Simba 4 – 2 AFC Leopards

FULL TIME

Simba 4 – 2 AFC Leopards (Bocco 2 goals, Kaheza, Mo Ibrahim – Mkangula, Omondi)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY