Matokeo Tanzania Prisons vs Alliance Fc TPL leo 1.9.2018

Matokeo Tanzania Prisons vs Alliance Fc TPL leo 1.9.2018

0

Matokeo Tanzania Prisons vs Alliance Fc TPL leo 1.9.2018

Mechi imeanza katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya

Dakika ya 10

Prisons 0 – 0 Alliance Fc

Goaaaaaaaaal dakika ya 23 Prisons wanapata bao kupitia kwa Mpalile.

Prisons 1 – 0 Alliance

Dakika ya 30 Prisons bado wanaongoza kwa bao 1

HALF TIME

Prisons 1 – 0 Alliance Fc

KIPINDI CHA PILI

DAKIKA YA 60

Prisons 1 – 0 Alliance

Dakika ya 70

Prisons 1 – 0 Alliance

Goaaaaaal Prisons wanapata bao LA Pili kupitia kwa Ibata

Prisons 2 – 0 Alliance

FULL TIME

Prisons 2 – 0 Alliance (Mpalile, Ibata)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY