Matokeo Uganda vs Tanzania Taifa Stars 8.9.2018

Matokeo Uganda vs Tanzania Taifa Stars 8.9.2018

0

Matokeo Uganda vs Tanzania Taifa Stars 8.9.2018

Matokeo mechi ya Uganda dhidi ya Tanzania Taifa Stars leo katika uwanja wa Mandela uliopo Namboole.

Mechi Imeanza

Uganda 0 – 0 Tanzania

Dakika ya kwanza Stars wanakoswa bao

Dakika ya 5 Uganda wanapata Kona

Dakika ya 10

Uganda 0 – 0 Tanzania

Dakika ya 14 Taifa Stars wanafanya shambulizi zuri, inakuwa Kona

Dakika ya 19 Uganda wanapata kona , Inapigwa mabeki wanaokoa

Dakika ya 20

Uganda 0 – 0 Tanzania

Dakika ya 24 Nicolas Wadada anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea faulo Samatta

Dakika ya 30

Uganda 0 – 0 Tanzania

HALF TIME

Uganda 0 – 0 Tanzania

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili kimeanza

Uganda 0 – 0 Tanzania

Dakika ya 48 Stars wanaanza kwa kasi na Kupata Kona

Inapigwa Kona Thomas Ulimwengu anapiga kichwa kinapaa

Uganda 0 – 0 Tanzania

Dakika ya 51 Juuko Murshid anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea rafu Simon Msuva

Dakika ya 56 Simon Msuva anaisumbua ngome ya Uganda anawekwa chini na Nicolas Wadada inakuwa Faulo

Dakika ya 59 Simon Msuva anawekwa tena chini na Walusimbi na kuwa Faulo

Dakika ya 64 Mbwana Samatta anapewa kadi baada ya kumchezea faulo mchezaji wa Uganda

Dakika ya 69 Mbwana Samatta anapiga fulo nzuri inatoka nje kidogo ya lango

Kikosi cha Simba dhidi ya AFC Leopards

Dakika ya 70 Mbwana Samatta anakosa goli la wazi

Dakika ya 71 Tanzania wanafanya mabadiliko anatoka Gadiel Michael anaingia Farid Mussa

Dakika ya 74 Simon Msuva anamchukua Juuko na kupiga Krosi ambayo Ulimwengu anaiunga lakini mpira unaenda nje ya Lango

Dakika ya 80

Uganda 0 – 0 Tanzania

Dakika ya 84 Geodfrey Walusimba anapewa kadi ya Njano

Dakika ya 86 Mudathir Yahya anapewa kadi ya Njano kwa mchezo usio wa Kiungwana

FULL TIME

Uganda 0 – 0 Tanzania.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY