Matokeo Yanga vs Stand United TPL leo 16.9.2018

Matokeo Yanga vs Stand United TPL leo 16.9.2018

0

Matokeo Yanga vs Stand United TPL leo 16.9.2018

Matokeo ya Moja kwa Moja kati ya Yanga ya Dar Es Salaam dhidi ya Stand United kutoka mKoani Shinyanga Live Kutoka Uwanja wa Taifa.

Kuanzia saa kumi kamili Tutakupa KILA kitu Live kaa karibu na Kwataunit.co.ke

Timu zinajiandaa kuingia uwanjani kwaajili ya Pambano

Timu ziko tayari uwanjani na Muda wowote kutoka Sasa PAMBANO litaanza

Mechi Imeanza

Yanga 0 – 0 Stand

Goaaaaaaaaaaal Dakika ya 1 Mrisho Ngassa anaipatia pasi Yanga kwa pasi ya Ibrahim Ajibu

Dakika ya 10

Yanga 1 – 0 Stand United

Yanga wanaonekana kuonana na kuwafurahisha washabiki waliofika uwanjani

Dakika ya 13 Yanga 1 – 0 Stand United

Goaaaaaaal Stand United wanachomoa bao baada ya Movie Nzuri, Goli safi la Alex Kitenge

Yanga 1 – 1 Stand United

Dakika 20

Mechi bado 1 kwa 1 Timu zote zikionekana kushambuliana kwa zamu, Hakuna Mnyonge mpaka sasa

Dakika ya 27 Yanga wanapata Kona , Inachezwa Movie Makambo anapiga Kichwa lakini mpira Unapaa juu ya Lango

Dakika ya 29 Heritier Makambo anamchukua beki anapiga Mpira beki anauzuia ndani ya 18

Dakika ya 30

Yanga 1 – 1 Stand United

Goaaaaaal Ibrahim Ajibu anaipatia Yanga bao la Pili kwa Shuti kaliii nje ya 18, DAKIKA ya 32

Yanga 2 – 1 Stand United

Goaaaaaal dakika ya 35 Andrew Vincent Dante Chikupe anaipatia Yanga bao kwa Goli la Kisigino.

Yanga 3 – 1 Stand United

Dakika ya 37 Mrisho Ngassa anachezewa faulo na anaonekana kuumia , Madaktari wanaitwa Kumtibu

Dakika ya 41 Kichwa alichokipiga Papy Tshishimbi kinagonga mwamba na kurejea uwanjani mabeki wakaokoa.

Yanga 3 – 1 Stand United ( Ngassa, Ajibu, Dante – Alex Kitenge)

Dakika ya 45 Paul Godfrey wa Yanga anapew kadi ya Njano

HALF TIME

Yanga 3 – 1 Stand United ( Ngassa, Ajibu, Dante – Alex Kitenge)

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha Pili kimeanza

Dakika ya 46 Papy Tshishimbi anajaribu shuti kali kwa mguu wa Kushoto mpira Unaenda pembeni ya lango

Dakika ya 55

Yanga 3 – 1 sTAND uNITED

Goaaaaaaaaal Deus Kaseke dakika ya 57 Anaipatia Yanga bao la 4, Assist ya Ibrahim Ajib, Ajib  anashiriki kwenye magoli yote manne ya Yanga Leo

Yanga 4 – 1 Stand United.

Goaaaaal dakika ya 59 Stand United wanafunga bao la  Pili yuleyule Alex Kitenge

Dakika ya 62 Yanga wanafanya mabadiliko ya KUMTOA Ibrahim Ajibu na Mrisho Ngassa wanaingia Mhilu na Raphael Daud

Dakika ya 63 Makambo anawakosa Stand United kwa mpira wa Kichwa bado ni 4 kwa 2

Dakika ya 71 Feisal Salum anapewa kadi ya Njano

Dakika ya 77 Kelvin Yondani anapewa kadi ya Njano.

Yanga 4 – 2 Stand United

Papy Tshishimbi anapewa kadi ya njano

Dakika ya 79 Refa anaonekana kulaumiwa na washabiki baada ya kuwa na maamuzi yasiyoridhisha

Yanga 4 – 2 Stand United

Kelvin Yondani anashindwa kuendelea na Mchezo na nafasi yake inachukuliwa na Ninja

Dakika ya 85

Bado 4 kwa 2

Full time

Yanga 4 – 3 Stand United

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY