Mchezaji ligi kuu TPL aamua kuvunja mkataba na timu yake

Mchezaji ligi kuu TPL aamua kuvunja mkataba na timu yake

0

Mchezaji ligi kuu TPL aamua kuvunja mkataba na timu yake

Wakati hali ya kiuchumi kwenye vilabu vingi ikielezwa kuwa si nzuri sana kutokana na timu kukosa pesa ya mdhamini mkuu ilihali ikiwa haieleweki ni lini mdhamini mkuu atapatikana mambo yameanza kuwa mambo kwa baadhi ya vilabu.

Mchezaji Manyika Peter Jr wa Singida United ameamua kuvunja mkataba na Singida united kutokana na kutokamilishiwa baadhi ya stahiki zake ikiwemo fedha ya Usajili.

Manyika Peter Jr alijiunga na Singida United kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Simba timu ambayo ilimuibua kipa huyo mwenye kipaji

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY