Mechi za Simba na Yanga zasogezwa Mbele

Mechi za Simba na Yanga zasogezwa Mbele

0

Mechi za Simba na Yanga zasogezwa Mbele

Tayari homa ya pambano la watani wa jadi SImba na Yanga September 30, 2018 katika uwanja wa Taifa imeanza kupanda yes iko hivyo.

Hii inatokana na TFF kukubali ombi la Simba la kusogeza mbele pambano kati yao dhidi ya Biashara ya Mara mchezo uliokuwa uchezwe September 27 siku 3 tu kabla ya pambano la watani.

TFF pia imesogeza pambano kati ya JKT Tanzania na Yanga pambano lililokuwa lichezwe September 26 katika uwanja wa Taifa.

Michezo hiyo miwili imesogezwa mbele ili kuzipa nafasi timu hizo ziweze kujiandaa kutokana na ratiba Kubana.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY