Mechi zote za Simba na Yanga mwezi September hizi hapa

Mechi zote za Simba na Yanga mwezi September hizi hapa

0

Mechi zote za Simba na Yanga mwezi September hizi hapa

Wikiendi hii Ligi kuu soka ya Tanzania Bara maarufu zaidi kwasasa kama TPL utamu wake unarejea mara baada ya mapumziko ya Kupisha maandalizi ya Timu ya Taifa ya Tanzanaia Taifa Stars.

Msomaji wa Kwataunit.co.ke Hizi ni mechi za Simba na Yanga ndani ya mwezi huu wa Tisa.

Mechi za Simba kwa Mwezi wa Tisa.

  • Ndanda vs Simba – Nangwanda Sijaona – 15.9.2018
  • Mbao Fc vs Simba – CCM Kirumba – 20.9.2018
  • Mwadui fc vs Simba – Kambarage – 22.9.2018
  • Simba vs Biashara – Taifa – 27.9.2018
  • Simba vs Yanga – Taifa – 30.9.2018

Mechi za Yanga kwa Mwezi wa 9

  • Yanga vs Stand United – Taifa – 16.9.2018
  • Yanga vs Coastal Union – Taifa – 19.9.2018
  • Yanga vs Singida United – Taifa – 23.9.2018
  • JKT Tanzania vs Yanga – Taifa – 26.9.2018
  • Simba vs Yanga – Taifa – 30.9.2018

Kwataunit.co.ke ipo kukujuza habari kila wakati Hakikisha Umelike Ukurasa wetu wa facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY