Meneja wa Kagere sasa aziita Yanga na Azam

Meneja wa Kagere sasa aziita Yanga na Azam

0

Meneja wa Kagere sasa aziita Yanga na Azam

Baada ya mchezaji wake kuanza kuonyesha Cheche meneja wa Meddie Kagere anayejulikana kwa jina la Patrick Gakumba amezikaribisha Yanga na Simba.

haya hapa magazeti ya Michezo Tanzania leo 3 september 2018

Kwanza meneja huyo ambaye ni meneja wa wachezaji kadhaa amefunguka kuwa mchezaji wake huyo anaweza kucheza timu yoyote lakini pia kama wanahitaji wachezaji aina ya Kagere wanaweza kuongea naye naye akawaletea wachezaji hao.

Patrick Gakumba amewataka Yanga na Simba kama watahitaji wachezaji wazoefu kama Kagere ambao watakuwa na uwezo wa kuingia kwenye timu na kuanza kufunga au hata wachezaji wazuri ambao bado chipukizi wanaweza kufanya biashara.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY