Muda wa mechi ya Uganda vs Taifa Stars na Chaneli itakayoonyesha

Muda wa mechi ya Uganda vs Taifa Stars na Chaneli itakayoonyesha

0

Muda wa mechi ya Uganda vs Taifa Stars na Chaneli itakayoonyesha

Kuelekea mchezo wa kufuzu AFCON kati ya Uganda na Tanzania kuna mambo msomaji wa Kwataunit.co.ke unatakiwa kufahamu kuelekea mchezo huo.

Mechi hiyo itachezwa Jumamosi 5.9.2018 katika uwanja wa MANDELA maarufu pia kama Namboole kuanzia majira ya saa kumi alasiri kwa muda wa Tanzania na Uganda

Lakini pia mchezo huo utarushwa moja kwa moja yani Live na Kituo cha ZBC 2 ambacho kinapatikana katika Kisembusi cha Azam

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY