Mwinyi Zahera atimua wachezaji watatu kambini

Mwinyi Zahera atimua wachezaji watatu kambini

0

Mwinyi Zahera atimua wachezaji watatu kambini

Kocha mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera jana aliwaondoa kambini wachezaji watatu wa klabu ya Yanga Beki Haji Mwinyi viungo Saidi Juma Makapu na Pius Buswita kutokana na kushindwa kufuata maelekezo yake.

Wachezaji hao hawakuwa sehemu ya mchezo wa Stand United na aliwataka wachezaji hao wawepo jukwaani (uwanja wa Taifa) kujifunza baadhi ya mambo ila wachezaji hao hawakuwepo uwanjani na jana kocha alipowaona mazoezi aliwaondoa.Kwa habari za Kila wakati kwa haraka Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

credit : Samuel Samuel

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY