Pigo Yanga kuelekea mchezo wake dhidi ya Singida United

Pigo Yanga kuelekea mchezo wake dhidi ya Singida United

0

Pigo Yanga kuelekea mchezo wake dhidi ya Singida United

Jumapili kutakuwa na Mchezo wa Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL msimu wa 2018/2019  kati ya Yanga dhidi ya Singida United.

Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam kuanzia majira ya saa moja jioni.

Yanga itapata pigo kuelekea mchezo huo kutokana na kumkosa nyota wake na Nahodha wao Kelvin Patrick Yondani kutokana na kutumikia kadi tatu za njano hivyo kumlazimu kukosa mechi inayofuata ambayo ni dhidi ya Singida UNITED jumapili hii.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY