Post ya Dismas Ten baada ya sare ya Simba na Ndanda

Post ya Dismas Ten baada ya sare ya Simba na Ndanda

0

Post ya Dismas Ten baada ya sare ya Simba na Ndanda

Baada ya Mchezo kati ya Ndanda na Simba uliochezwa mkoani Mtwara kumalizika kwa Simba kutoka sare ya Bila Kufungana na Ndanda

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten ameweka Utani wa Paka aliyefunga Jicho moja kama ile Style ya Kagere mara nyingi anapofunga na Kisha akauliza Kwani kuna Habari Gani?

Kwani kuna habari gani?

Kuzipata habari zetu kwa wakati Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY