Post ya Haji Manara baada ya Sare dhidi ya Ndanda

Post ya Haji Manara baada ya Sare dhidi ya Ndanda

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Post ya Haji Manara baada ya Sare dhidi ya Ndanda

Afisa habari wa Simba Haji Manara amekuja na Style Mpya kwa kuandika kwa kutumia Kiingereza baada ya sare dhidi ya Ndanda Fc mchezo wa Ligi Kuu TPL.

Akitumia Ukurasa wake wa Instagram Haji Manara ameandika ujumbe akisema Hii ni mbio ndefu huku akiwapongeza ndanda kwa kutoa sare na Mabingwa wa soka Tanzania Simba.

This is a marathon not a sprint. Much respect to Ndanda FC for playing with the champions and Lions of the country!!! And the equal result as well ofcourse!! You have fought a good fight.

Kuzipata habari zetu kwa wakati Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

Kuzipata habari zetu kwa wakati Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY