Ratiba ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL leo 2.9.2018

Ratiba ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL leo 2.9.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Ratiba ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL leo 2.9.2018

Ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL itaendelea leo baada ya Kushududia michezo ya Jana

Leo JKT Tanzania watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Ndanda Fc kutoka Mkoani Mtwara.

Matokeo ya Mechi za Jana TPL 2018/2019

Stand United 1-0 Biashara United.
Tanzania Prisons 2-0 Alliance.
Coastal Union 1-1 KMC.
Kagera Sugar 0-0 African Lyon
Mtibwa Sugar 2-1 Mbeya City.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY