Ratiba ligi kuu Tanzania Bara TPL Leo 14.9.2018

Ratiba ligi kuu Tanzania Bara TPL Leo 14.9.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Ratiba ligi kuu Tanzania Bara TPL Leo 14.9.2018

Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL 2018/2019 Itaendelea kuanzia leo siku ya Ijumaa mara baada ya mapumziko kupisha timu ya Taifa iliyokuwa ikijiandaa na mchezo dhidi ya Uganda Kufuzu AFCON 2019.

Ratiba TPL Ijumaa 14.9.2018

Ijumaa Ligi kuu soka ya Tanzania bara itaendelea kwa mechi 2 kuchezwa,

Katika uwanja wa Mwadui wilayani Kishapu Mwadui Fc watakuwa wenyeji wa Azam Fc mechi ikianza saa nane mchana.

Nako Katika uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam AFrican Lyon watawakaribisha Coastal Union kutoka Tanga, Mechi Itaanza saa kumi alasiri.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY