Ratiba ligi kuu Tanzania bara TPL leo 15.9.2018

Ratiba ligi kuu Tanzania bara TPL leo 15.9.2018

0

Ratiba ligi kuu Tanzania bara TPL leo 15.9.2018

Biashara ya Mara  msomaji wa Kwataunit.co.ke siku ya Jumamosi kwa mara ya kwanza watacheza mchezo wao wa kwanza wa Ligi kuu katika uwanja wao wa Karume mkoani Mara mechi itakayochezwa dhidi ya Kagera Sugar.

KMC wao watakuwa wenyeji wa Singida United katika uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam saa kumi kamili alasiri.

Mbao Fc waranda bao kutoka mitaa ya sabasaba Ilemela jijini Mwanza watakuwa wenyeji wa JKT Tanzania katika uwanja wa CCM Kirumba, Mechi Itaanza saa kumi kamili.

Nao wanajelajela Tanzania Prisons watakuwa wenyeji wa Ruvu Shooting kutoka Mlandizi mkoani Pwani mechi ikianza saa kumi dimba la Sokoine Mbeya.

Lipuli Fc watakuwa nyumbani uwanja wa Samora kuwakaribisha wakata miwa wa Mtibwa Sugar, Mechi hii Itaanza mapema saa nane mchana.

Mtwara kutakuwa na SHughuli kati ya Ndanda Fc dhidi ya Mabingwa wa soka Tanzania bara Simba mechi itaanza saa kumi kamili. Kuyapata matokeo yote kwa wakati Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY