Refa atakayechezesha Simba vs Yanga September 30 2018

Refa atakayechezesha Simba vs Yanga September 30 2018

0

Refa atakayechezesha Simba vs Yanga September 30 2018′

Tarehe 30.9.2018 kutakuwa na pambano la watani wa jadi kati ya Simba na Yanga mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL.

Mechi hiyo itachezwa katika dimba la Taifa lakini moja kti ya vitu vinavyosubiriwa kwa hamu kubwa ni jina la mwamuzi atakayeamua pambano hilo.

Taarifa za kuaminika ambazo kwataunit.co.ke imezipata mwamuzi aliyepitishwa kusimama kama refarii wa kati ni mwamuzi Florentina Zablon kutoka Dodoma.

Hata hivyo Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi CHAMA atamtangaza rasmi siku ya alhamis mwamuzi na waamuzi wasaidizi watakaochezesha pambano hilo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY