Rekodi mechi zote Tanzania vs Uganda zilipokutana ilikuwa hivi

Rekodi mechi zote Tanzania vs Uganda zilipokutana ilikuwa hivi

0

Rekodi mechi zote Tanzania vs Uganda zilipokutana ilikuwa hivi

Kuelekea pambano la Kufuzu michuano ya AFCON kati ya Uganda na Tanzania 8 September 2018 tambua Kuwa kuna rekodi za Nyuma za mara Zote Tanzania Ilipokutana na Uganda katika michuano mbalimbali na Mechi za Kirafiki.

Uganda wanarekodi nzuri zaidi ya Kuifunga Tanzania mechi nyingi kuliko Tanzania ilivyoifunga Uganda.

Tanzania na Uganda msomaji wa kwataunit.co.ke  zimeshakutana mara 53 ambapo Uganda imeshinda jumla ya Mechi 29 wakati Tanzania Ikishinda mara 10 pekee na kutoka sare mara 14.

Mechi zote ambazo wamewahi kukutana.

Date Match Result Score Competition
08 Sep 1964 Tanzania v Uganda W 3-0 East African Cup
02 Oct 1965 Uganda v Tanzania D 1-1 International Friendly
30 Nov 1966 Uganda v Tanzania L 3-0 International Friendly
03 Oct 1967 Tanzania v Uganda L 1-2 CECAFA Cup
27 Sep 1969 Uganda v Tanzania L 3-0 CECAFA Cup
06 Jun 1970 Uganda v Tanzania D 1-1 International Friendly
02 Oct 1970 Tanzania v Uganda L 1-4 CECAFA Cup
27 Jul 1972 Uganda v Tanzania D 1-1 International Friendly
29 Sep 1973 Uganda v Tanzania L 2-1 CECAFA Cup
27 Jul 1974 Tanzania v Uganda W 1-1 CECAFA Cup
13 Nov 1977 Uganda v Tanzania D 1-1 International Friendly
15 Nov 1977 Tanzania v Uganda D 1-1 International Friendly
09 Nov 1979 Tanzania v Uganda W 5-3 CECAFA Cup
12 Sep 1982 Uganda v Tanzania L 3-2 Africa Cup of Nations
26 Sep 1982 Tanzania v Uganda D 1-1 Africa Cup of Nations
17 Nov 1982 Tanzania v Uganda L 0-1 CECAFA Cup
20 Nov 1983 Uganda v Tanzania D 1-1 CECAFA Cup
04 Aug 1984 Tanzania v Uganda L 0-1 Africa Cup of Nations
18 Aug 1984 Uganda v Tanzania W 1-3 Africa Cup of Nations
01 Dec 1984 Tanzania v Uganda D 1-1 CECAFA Cup
08 Dec 1989 Uganda v Tanzania L 5-1 CECAFA Cup
17 Dec 1990 Uganda v Tanzania L 1-1 CECAFA Cup
14 Apr 1991 Uganda v Tanzania L 3-2 Africa Cup of Nations
27 Jul 1991 Tanzania v Uganda D 1-1 Africa Cup of Nations
30 Nov 1991 Uganda v Tanzania L 5-0 CECAFA Cup
08 Jan 1993 Uganda v Tanzania L 3-1 International Friendly
10 Jan 1993 Uganda v Tanzania L 2-0 International Friendly
10 Dec 1993 Uganda v Tanzania W 0-1 International Friendly
03 Sep 1994 Tanzania v Uganda W 4-0 Africa Cup of Nations
08 Dec 1994 Tanzania v Uganda W 2-2 CECAFA Cup
08 Apr 1995 Uganda v Tanzania L 2-0 Africa Cup of Nations
22 Nov 1996 Uganda v Tanzania L 1-0 CECAFA Cup
10 Jul 1998 Uganda v Tanzania L 3-0 International Friendly
11 Dec 2001 Tanzania v Uganda W 1-0 CECAFA Cup
23 Oct 2002 Tanzania v Uganda L 0-2 Four Nations Castle Lager Cup (East Africa)
12 Mar 2003 Tanzania v Uganda D 0-0 International Friendly
28 May 2003 Uganda v Tanzania L 3-1 International Friendly
31 May 2003 Uganda v Tanzania L 1-0 International Friendly
11 Nov 2003 Uganda v Tanzania L 2-1 International Friendly
26 May 2007 Uganda v Tanzania D 1-1 International Friendly
01 Sep 2007 Tanzania v Uganda W 1-0 International Friendly
09 Jan 2009 Uganda v Tanzania L 2-1 CECAFA Cup
29 Nov 2009 Uganda v Tanzania L 2-0 CECAFA Cup
03 Mar 2010 Tanzania v Uganda L 2-3 International Friendly
10 Dec 2010 Tanzania v Uganda L 0-0 CECAFA Cup
11 Jan 2011 Uganda v Tanzania D 1-1 International Friendly
08 Dec 2011 Tanzania v Uganda D 1-1 CECAFA Cup
06 Dec 2012 Uganda v Tanzania L 3-0 CECAFA Cup
13 Jul 2013 Tanzania v Uganda L 0-1 International Friendly
27 Jul 2013 Uganda v Tanzania L 3-1 International Friendly
07 Dec 2013 Uganda v Tanzania W 2-2 CECAFA Cup
20 Jun 2015 Tanzania v Uganda L 0-3 International Friendly
03 Jul 2015 Uganda v Tanzania D 1-1 International Friendly

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY